MWANZA-Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga leo Septemba 17, 2024 amefungua kikao kazi cha Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) jijini Mwanza.
Lengo la kikao hicho ni kufanya tathmini ya utendaji wa Menejimenti ya TPDC na kupanga mikakati mipya.