Nilivyomnasua Mpenzi wangu kwenye uraibu wa dawa za kulevya

TANGA-Jina langu ni Chidi, nipo kwenye mahusiano kwa miaka minne na mpenzi wangu, Sophia hadi sasa naona tupo pamoja ninaamini hakuna kitu ambacho kitakuja kutuachanisha kwani tumepitia changamoto nyingi.
Miongoni mwa changamoto hizo ni mpenzi wangu kuwa na uraibu wa dawa za kulevya, alijikuta katika janga hilo kwa bahati mbaya kutokana na aina ya marafiki aliokuwa nao.

Wakati wa wikiendi walipokuwa wanatoka kwa ajili ya starehe, rafiki zake walikuwa wanatumia dawa hizo, hivyo walitumia ujanja wakawa wanamchanganyia kwenye kinywaji hadi akawa na uraibu wa dawa hizo hatari.

Kuna wakati aliharibikiwa sana hadi akawa anachukua vitu vyangu ndani anaenda kuuza ili apate fedha ya kwenda kununua dawa na kukata kiu yake kwa wakati huo.


Nilijaribu kumpelekea kituo cha kulea watu wenye uraibu wa dawa za kulevya,lakini baada wiki moja alitoroka huko na kurejea nyumbani.

Tatizo mimi nilikuwa sishindi nyumbani kutokana na kazi yangu, ndugu zake wote wapo kijijini, hivyo mzigo wote ukabaki kuwa wangu, nilijaribu kupita huko na kule kuomba msaada ili aweze kuachana na dawa hizo bila mafanikio.

Ilifikia wakati nikakataa kabisa mataa na yeye nikataka kuachana naye, lakini kila nikifikiria jinsi mimi na yeye tumetoka mbali ndivyo ambavyo roho yangu ilikuwa inazidi kuuma na ukizingatia amejipata katika hali hiyo bila yeye mwenyewe kupenda.

Baada ya kuzunguka sana, niliweza kukutana na tangazo la Dr Bokko, alieleza kuwa anaweza kumsaidia mtu aliyeathirika na matumizi ya dawa za kulevya na kuweza kuachana nazo kabisa. Nilichukua namba yake +255618536050 na kumpigia.

Katika mazungumzo yetu ya muda mfupi, Dr Bokko alinihakikishia kuwa Sophia atapona kabisa kutoka kwenye matumizi ya dawa za kulevya.

Niliendelea kugonjea hilo kutokea kwani ni kitu ambacho nilikitamani sana kukiona kutokana nilimpenda sana mpenzi wangu na sikuwa tayari kumpoteza kivyovyote vile.

Taratibu Sophia alianza kurejea kwenye hali yake ya kawaida na kuwa mwanamke mzuri kama hapo awali alivyokuwa had nikaamua kuwa naye na kumpa nafasi katika moyo wangu.

Hadi sasa mpenzi wangu amefanikiwa kuachana na matumizi ya dawa za kulevya kwa asilimia 100 hadi baadhi ya rafiki zake ambao walipitia kipindi kama chake wanashangaa amewezaje kwa muda mfupi hivyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news