Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaendesha semina kwa kamati za Bunge

DODOMA-Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeendesha Semina kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala, Katiba na Sheria, pamoja na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo.
Semina hiyo iliambatana na Mawasilisho mawili ambapo mada kuhusu Mwongozo wa Uandishi wa Sheria wa Mwaka 2023 na Mambo Mbalimbali ya Kuzingatia wakati wa kuhakiki Muswada wa Sheria Ndogo ziliwasilishwa.Semina hiyo imefanyika leo Septemba 5, 2024 jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news