Picha:Waziri Ridhiwani Kikwete akiwa na wadau muhimu katika wizara yake


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Wadau wanaoshughulika na masuala ya Watu wenye Ulemavu alipokutana nao jijini Dodoma leo Septemba 2, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news