Programu ya TAKUKURU Rafiki yatatua changamoto ya maji Kata ya Tongoni jijini Tanga

TANGA-Setemba 14,2024 TAKUKURU TV ilitembelea Kata ya Tongoni iliyopo Halmashauri ya Jiji la Tanga na kuongea na wananchi ili kufahamu utekelezaji wa Programu Rafiki ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) ilivyosaidia kutatua changamoto ya maji katika kata hiyo.

"Sisi tulikuwa tuna changamoto ya maji, lakini walikuja watu wa TAKUKURU kwa kushirikiana na diwani wetu na mwenyekiti wetu tukaweka kikao. Tukazungumzia kuhusu changamoto ambayo tuko nayo ya kukatikatika kwa maji,tunashukuru walilichukua suala hili wakaenda sehemu husika na kulifanyia kazi, kabla ya hapo maji yalikuwa yanakatikakatika bila sababu na hatujui tatizo ni nini linalofanya maji yanakatikakatika. Maji tulikuwa;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news