Rais Dkt.Mwinyi amtembelea Mzee Gavu nyumbani kwake Wilaya ya Kusini

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemtembelea Mzee Haji Ussi Haji Gavu, Mwenyekiti Mstaafu wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja, nyumbani kwake Michamvi Msuakini, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na Mzee Haji Ussi Haji Gavu nyumbani kwake Michamvi leo Septemba 21,2024.
Mzee Haji Ussi Haji Gavu, Mwenyekiti Mstaafu wa CCM akiwa katika uso wa tabasamu wakati akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Septemba 21,2024.
Rais Dkt. Mwinyi ameendelea na utaratibu wake wa kuwatembelea na kuwafariji wananchi katika maeneo mbalimbali.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news