Rais Dkt.Mwinyi atembelea Bandari ya Maputo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mtambo wa kubebea na kushusha mizigo katika meli Bandari ya Maputo nchini Msumbiji wakati wa ziara yake ya kutembelea bandari hiyo leo Septemba 8,2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe, Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Meneja Mafunzo wa mitambo ya kubebea na kushusha makontena katika meli Bandari ya Maputo nchini Msumbiji, wakati alipofanya ziara katika bandari hiyo leo Septemba 8,2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mtambo wa kubebea na kushusha mizigo katika meli Bandari ya Maputo nchini Msumbiji wakati wa ziara yake ya kutembelea bandari hiyo leo Septemba 8,2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Dk.Mateus Magala wakati wa ziara yake kutembelea Bandari ya Maputo Msumbiji leo Septemba 8,2024. Kushoto ni Mke wake, Mama Mariam Mwinyi.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news