Rais Dkt.Mwinyi awasili Pemba kupokea meli ya kwanza ya makontena

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Unguja na kuwasili Pemba.
Katika uwanja wa ndege wa Pemba Dk.Mwinyi amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahor Masoud pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Rais Dk.Mwinyi ataipokea Meli ya kwanza ya Makontena katika Bandari ya Mkoani, Pemba leo tarehe 30 Septemba 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news