Rais Dkt.Mwinyi azindua mifumo ya ZEEA

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amezindua mifumo mitatu ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA), ikiwemo mfumo wa kieletroniki wa utoaji mikopo, mfumo wa ZEEA Shop, mfumo wa ZEEA mafunzo.
Pia ameshuhudia utiajiliaji wa saini wa mikataba kati ya ZSSF na ZEEA, Kamisheni ya utalii na ZEEA wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Pili la Fahari ya Zanzibar, lililoandaliwa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA), katika viwanja vya maonesho ya biashara Dimani, Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 20 Septemba 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news