ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kufunga Mkutano wa Nane wa Mawaziri wenye Dhamana ya Bahari wa Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pasifiki (OACPS) katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Septemba 13,2024 saa 9 Alasiri.