JAKARTA-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameondoka jijini Jakarta nchini Indonesia leo Septemba 6,2024 na ujumbe wake akiwemo mke wake Mama Mariam Mwinyi na kuelekea jijini Maputo nchini Msumbiji katika sherehe za miaka 50 ya Siku ya Ushindi nchini Msumbiji.