Rais Dkt.Samia ateta na IJP Wambura


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IJP),Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IJP),Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Septemba, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news