DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) kwenye kikao cha pamoja kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongozana na mgeni wake, Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao kilichohudhuriwa na mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.
Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) akizungumza katika kikao cha pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kikao cha pamoja kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.