Rais Dkt.Samia awaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni

DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali ambao aliwateua hivi karibuni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.
Viongozi mbalimbali wakila kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news