Rais mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aendelea kuwamegea maarifa mawaziri mjini Boston

BOSTON-Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho, yuko mjini Boston, Marekani ambapo anashiriki katika kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa Afya na Elimu kutoka nchi mbalimbali zinazoendelea kupitia Mpango wa Uongozi wa Harvard (Harvard Ministerial Leadership Program) inayoendeshwa na Chuo Kikuu cha Harvard.
Mheshimiwa Dkt. Kikwete ni mmoja wa Viongozi Wakuu wa Kitaifa Wastaafu wanoshiriki kutoa mafunzo hayo.
Akiwa Boston, Mheshimiwa Dkt. Kikwete amekutana na baadhi ya wanafunzi Watanzania wanaosoma hatua mbalimbali za elimu hapo katika Chuo Kikuu cha Harvard.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news