Tamasha la Utamaduni Songea lazidi kunoga

RUVUMA-Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo Septemba 21, ameongoza washiriki wa Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa mkoani Ruvuma katika matembezi ya maalum ya Songea Joging Club ikiwa ni shamrashamra za tamasha hilo.
Akizungumza baada ya matembezi hayo, Mhe. Ndumbaro amesema kuwa mbio hizo ni katika kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kufanya mazoezi ili kuimarisha afya na kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news