Tangazo muhimu kwa wachimbaji na wafanyabiashara wakubwa wa dhahabu nchini

DODOMA-Kufuatia kupitishwa kwa Muswada wa Fedha wa Mwaka 2024/2025 na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,mnafahamishwa kuwa, Sheria ya Madini inamtaka kila mchimbaji ama mfanyabiashara ya madini kutenga angalau asilimia 20 ya dhahabu inayozalishwa kwa ajili ya kuiuzia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kabla ya kuisafirisha nje ya nchi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news