Watoto wajifunze neno la Mungu-A/INSP Kitereja

KILIMANJARO-Polisi Kata wa Kata ya Olele wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjaro Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Boniventure Kitereja akitoa elimu kwa wazazi wakati aliposhiriki ibada ya Jumapili ya kuwaombea watoto.

Ni katika Kanisa la KKKT usharika wa Mashati ambapo amewataka kuwajengea watoto mazoea ya kujifunza neno la Mungu ambalo litawaongoza kuishi maisha wakiwa na hofu ya Mungu.
Sambamba na hilo amewataka watoto kuacha kuogopa kusema ukweli pindi wanapoona vitendo vya ukatili au viashiria kwani vinadhoofisha ustawi mzuri wa maisha yao

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news