Waziri Mkuu amuwakilisha Rais Dkt.Samia katika Baraza la Maulid kitaifa Geita
GEITA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 16, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu.