Waziri Mkuu ashiriki mbio za hisani za Maendeleo Bank

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 7, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Maendeleo Bank Marathon 2024 zilizoanzia na kuishia katika viwanja vya Greenpark garden Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Lengo la mbio hizo ni kukusanya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya kusaidia watoto wenye changamoto mbalimbali hapa nchini.Kauli mbiu ya mbio hizo ni “Hatua ya Faraja- Msimu wa Pili”.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news