Waziri Mkuu katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kabla ya ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) jijini New York, Marekani Septemba 24, 2024. Wengine kwenye picha ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina Mohammed na kushoto ni Afisa Mkuu wa Masuala ya Umoja wa Mataifa Courtenay Rattray.(Picha na UN).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news