Waziri Mkuu kufunga mkutano maalum wa viongozi, wataalam na wadau wa mazingira

DODOMA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 10, 2024 anafunga mkutano maalum wa viongozi, wataalam na wadau wa mazingira kuhusu mwelekeo wa mazingira nchini, katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Madhumuni ya Mkutano huo ni kuchambua hali ya mazingira nchini, kubadilishana uzoefu, na kupanga mikakati madhubuti ya kuhifadhi na kusimamia mazingira.
Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Mazingira Yetu na Tanzania Ijayo” Tuwajibike sasa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news