KILIMANJARO-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 6, 2024 amewasili mkoani Kilimanjaro ambapo atafungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Tags
Habari
Kikao Kazi Serikalini
Ofisi ya Waziri Mkuu
Prime Minister Office Tanzania
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi