Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wakurugenzi na Watumishi kutoka Idara ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi pamoja Kitengo cha Huduma za Ajira wakati wa Kikao Maalum kilichofanyika leo Septemba 2, 2024 jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wakurugenzi na Watumishi kutoka Idara ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi pamoja Kitengo cha Huduma za Ajira wakati wa Kikao Maalum kilichofanyika leo Septemba 2, 2024, jijini Dodoma.


Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi, ,Kissa Kilindu akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya idara hiyo wakati wa Kikao Maalum na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Septemba 2, 2024 jijini Dodoma.

Tags
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete
Ridhiwani Kikwete
Wizara ya Kazi na Ajira