Waziri Ridhiwani Kikwete ateta na Uongozi wa TUCTA

DODOMA-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Tumaini Nyamhokya jijini Dodoma.
Pamoja na mambo mengine, wamejadili kuhusu Gazeti la Mfanyakazi ambalo lina maudhui ya habari za kuelimisha umma kuhusu masuala ya wafanyakazi nchini.
Katika kikao hicho, kilihudhuriwa pia na Mhariri Mkuu Shani Kibwasali na Waandishi wa Habari wa Gazeti hilo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news