Waziri Ridhiwani Kikwete ateta na Mheshimiwa Tabia Mwita


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Mhe. Tabia Mwita walipokutana leo Septemba 21, 2024 katika kongamano la Taifa la Agenda ya Usalama kwa Vijana lililofanyika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Center jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Mhe. Tabia Mwita walipokutana jijini Dar es Salaam leo Septemba 21, 2024 katika kongamano la Taifa la Agenda ya Usalama kwa Vijana.Kongamano hilo limeongozwa na Kauli mbiu isemayo "Kijana chukua hatua kudumisha utamaduni na amani Tanzania."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news