Waziri Ridhiwani Kikwete ateta na watendaji wa PSSSF na NSSF

DODOMA-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Abdul-Razaq Badru na baadhi ya Watendaji wa Mfuko huo pamoja na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa lengo la kupokea taarifa ya Mifuko hiyo kuhusu mwenendo wa ulipaji mafao kwa Wastaafu, jijini Dodoma, leo Septemba 3, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news