Waziri Ridhiwani Kikwete ateta na Ujumbe kutoka ILO

DODOMA- Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Ukanda wa Afrika Mashariki, Bi. Caroline Mugalla na Mratibu wa Mpango wa Kitaifa Shirika la Kazi Duniani (ILO), Edmund John Moshy, jijini Dodoma leo Septemba 4, 2024.
Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Ukanda wa Afrika Mashariki,Bi. Caroline Mugalla akimweleza jambo Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete katika kikao hicho.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao hicho leo.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Ukanda wa Afrika Mashariki, Bi. Caroline Mugalla na Mratibu wa Mpango wa Kitaifa Shirika la Kazi Duniani (ILO), Edmund John Moshy baada ya kikao jijini Dodoma leo Septemba 4, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news