DODOMA-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), walipomtembelea jijini Dodoma leo Septemba 2, 2024.

Aidha, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka viongozi hao kuzingatia sheria zilizopo, pamoja na Katiba na kanuni za chama hicho.
Tags
Chama cha Walimu Tanzania
CWT
Habari
Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete
Ridhiwani Kikwete
Wizara ya Kazi na Ajira