Waziri Ridhiwani Kikwete awasilisha taarifa kwa Kamati ya Bunge kuhusu mwenendo wa ulipaji mafao kwa wastaafu

DODOMA- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii kuhusu mwenendo wa ulipaji mafao kwa wastaafu, Bungeni jijini Dodoma leo Septemba 4, 2024.
Aidha, katika kikao hicho pia ameshiriki Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi, Katibu Mkuu, Mary Maganga, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Zuhura Yunus pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Abdul - Razaq Badru na Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),Masha Mshomba.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news