Waziri Silaa ateua wajumbe Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

ARUSHA-Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa amefanya uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari.

Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wa wizara hiyo, Isabela Maria Katondo, Waziri Silaa amemteua Tido Mhando kuwa Mwenyekiti.
Mjumbe wa kamati, Mgaya Kingoba Bakari.

Wajumbe ni Thobias Makoba, Mgaya Kingoba Bakari, Dkt. Rose Reuben, Dkt. Egbert Mkoko na Ladislaus Komanya.

Bodi hiyo imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 11 cha Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari Na. 12 ya mwaka 2016.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news