DAR-Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dkt.Irene Isaka leo Oktoba 7,2024 amehudumia wateja mbalimbali waliofika kupata huduma Ofisi ya NHIF Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Dkt. Isaka amewashukuru wanachama kwa kuchagua huduma za NHIF na ameahidi Mfuko utaendelea kutoa huduma bora na kwa wakati.
*Bima ya Afya kwa Wote, Jiunge sasa*
Tags
Bima ya Afya kwa Wote
Dr Irene Isaka
Habari
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)
NHIF Tanzania