Dkt.Possi afungua mkutano wa wajumbe wa baraza la wafanyakazi

DODOMA-Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt.Ally Possi amefungua mkutano wa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akiwaongoza wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuimba wimbo wa mshikamano daima wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza hilo uliofanyika Jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo uliofanyika jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo uliofanyika jijini Dodoma.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) aweze kufungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wakichangia mada wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali uliofanyika jijini Dodoma.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa Baraza hilo uliofanyika jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa TUGHE tawi la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya ya kufungua mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news