DODOMA-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha kujadili changamoto zinazokabili Kiwanda cha Kuzalisha Bidhaa za Kibaiolojia cha Tanzania Biotech Products Limited (TBPL-Viuadudu) kilichofanyika Oktoba 31, 2024 katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dodoma.
Tags
Dr Jim Yonazi
Habari
Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Prime Minister Office Tanzania