Dkt.Yonazi atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia


Afisa Mambo ya Nje Mkuu na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Namibia Bw. Elias Tamba akizungumza jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi alipotembelea ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia tarehe 23 Oktoba, 2024.
Afisa Mambo ya Nje Mkuu na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Namibia Bw. Elias Tamba akizungumza jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi alipotembelea ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia tarehe 23 Oktoba, 2024.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mambo ya Nje Mkuu na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Namibia Bw. Elias Tamba aliptembelea Ofisi za Ubalozi huo kisha kushiriki Kikao cha Tisa cha Jukwaa la Kanda la Afrika la Kupunguza Athari za Maafa na Mkutano wa Nane wa Ngazi ya Viongozi (High Level Meeting) kuhusu masuala ya kupunguza athari za maafa vitakavyofanyika Windhoek nchini Namibia.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mambo ya Nje Mkuu na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Namibia Bw. Elias Tamba (kulia kwake), Mkurugenzi wa Idara ya Menjimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Brig. Jenerali Hosea Ndagala (wa kwanza kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Tathmini na Ufuatiliaji Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Bw. Charles Msangi alipotembelea katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia.
Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Brig. Jenerali Hosea Ndagala akizungumza jambo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi nje ya ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Namibia walipotembelea tarehe 23 Oktoba, 2024, wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Tathmini na Ufuatiliaji Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Charles Msangi na wa pili kushoto ni msaidizi wa Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Bw. January Kitunsi.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news