Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 16,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1954.88 na kuuzwa kwa shilingi 1974.29 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3139.97 na kuuzwa kwa shilingi 3171.00.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 16, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 261.09 na kuuzwa kwa shilingi 263.67 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 154.02 na kuuzwa kwa shilingi 155.51.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 736.41 na kuuzwa kwa shilingi 743.68 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 173.56 na kuuzwa kwa shilingi 175.10.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.51 na kuuzwa kwa shilingi 0.52 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2950.36 na kuuzwa kwa shilingi 2980.41.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1816.25 na kuuzwa kwa shilingi 1834.69 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3619.47 na kuuzwa kwa shilingi 3655.66.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 21.05 na kuuzwa kwa shilingi 21.09 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.45 na kuuzwa kwa shilingi 1.56.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.71 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2704.77 na kuuzwa kwa shilingi 2731.82 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8821.54 na kuuzwa kwa shilingi 8906.85.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3537.84 na kuuzwa kwa shilingi 3573.77 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.04.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 16th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED736.4133743.6762740.044716-Oct-24
2ATS173.5653175.1032174.334316-Oct-24
3AUD1816.25461834.69031825.472416-Oct-24
4BEF59.204859.728959.466916-Oct-24
5BIF0.91920.91380.916516-Oct-24
6BWP202.8579205.4329204.145416-Oct-24
7CAD1954.88021974.28631964.583316-Oct-24
8CHF3139.97253171.00413155.488316-Oct-24
9CNY380.2576383.9954382.126516-Oct-24
10CUC112.6988113.8258113.262316-Oct-24
11DEM1083.7731231.93691157.854916-Oct-24
12DKK395.4461399.3772397.411716-Oct-24
13DZD20.381720.381720.381716-Oct-24
14ESP14.354314.480914.417616-Oct-24
15EUR2950.36562980.41562965.390616-Oct-24
16FIM401.6829405.2424403.462716-Oct-24
17FRF364.0977367.3183365.70816-Oct-24
18GBP3537.84213573.76693555.804516-Oct-24
19HKD348.2255351.6942349.959916-Oct-24
20INR32.195532.496132.345816-Oct-24
21IQD2.06632.08382.07516-Oct-24
22IRR0.06440.0650.064716-Oct-24
23ITL1.23351.24441.238916-Oct-24
24JPY18.14818.328218.238116-Oct-24
25KES21.048821.095121.07216-Oct-24
26KRW1.98962.00881.999216-Oct-24
27KWD8821.53978906.85018864.194916-Oct-24
28MWK1.44921.56081.50516-Oct-24
29MYR627.9945633.539630.766716-Oct-24
30MZM41.973542.327542.150516-Oct-24
31NAD154.0303155.4821154.756216-Oct-24
32NGN1.681.64571.662816-Oct-24
33NLG1083.7731093.3841088.578516-Oct-24
34NOK250.5881253.0119251.816-Oct-24
35NZD1648.28821665.04431656.666316-Oct-24
36PKR9.26169.82469.543116-Oct-24
37QAR742.05749.0595745.554816-Oct-24
38RWF1.9712.04542.008216-Oct-24
39SAR720.4849727.6122724.048516-Oct-24
40SDR3619.47033655.6653637.567616-Oct-24
41SEK261.091263.6663262.378616-Oct-24
42SGD2067.55262088.06852077.810516-Oct-24
43TRY78.954679.729579.342116-Oct-24
44UGX0.70850.74340.725916-Oct-24
45USD2704.77232731.822718.296116-Oct-24
46GOLD7181657.2557254348.017218002.632516-Oct-24
47ZAR154.0172155.5113154.764216-Oct-24
48ZMK98.7255102.6036100.664516-Oct-24
49ZWD0.50610.51640.511316-Oct-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news