Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 2,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3601.18 na kuuzwa kwa shilingi 3639.11 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 2, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1999.25 na kuuzwa kwa shilingi 2019.09 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3189.56 na kuuzwa kwa shilingi 3221.08.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 264.67 na kuuzwa kwa shilingi 267.28 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 156.65 na kuuzwa kwa shilingi 157.94.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 736.17 na kuuzwa kwa shilingi 743.45 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 173.50 na kuuzwa kwa shilingi 175.04.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.52 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2993.64 na kuuzwa kwa shilingi 3023.85.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1867.51 na kuuzwa kwa shilingi 1887.51 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3667.34 na kuuzwa kwa shilingi 3704.01.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 21.04 na kuuzwa kwa shilingi 210.09 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.45 na kuuzwa kwa shilingi 1.56.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.70 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2703.79 na kuuzwa kwa shilingi 2730.83 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8851.25 na kuuzwa kwa shilingi 8936.84.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 2nd,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED736.1665743.4471739.806802-Oct-24
2ATS173.5024175.0398174.271102-Oct-24
3AUD1867.50921887.54971877.529402-Oct-24
4BEF59.183459.707259.445302-Oct-24
5BIF0.92740.93150.929402-Oct-24
6CAD1999.25472019.09792009.176302-Oct-24
7CHF3189.56253221.07813205.320302-Oct-24
8CNY385.2873389.0403387.163802-Oct-24
9DEM1083.38021231.49041157.435302-Oct-24
10DKK401.4301405.4143403.422202-Oct-24
11ESP14.349114.475614.412302-Oct-24
12EUR2993.63863023.8483008.743302-Oct-24
13FIM401.5374405.0956403.316502-Oct-24
14FRF363.9657367.1853365.575502-Oct-24
15GBP3601.18073639.10413620.142402-Oct-24
16HKD347.7949351.2593349.527102-Oct-24
17INR32.263332.564532.413902-Oct-24
18ITL1.2331.24391.238502-Oct-24
19JPY18.777618.964118.870902-Oct-24
20KES21.041221.087521.064302-Oct-24
21KRW2.04832.06792.058102-Oct-24
22KWD8851.25248936.83948894.045902-Oct-24
23MWK1.4491.55961.504302-Oct-24
24MYR649.7938655.1896652.491702-Oct-24
25MZM41.971342.325342.148302-Oct-24
26NLG1083.38031092.98781088.18402-Oct-24
27NOK255.224257.7082256.466102-Oct-24
28NZD1706.09281724.2461715.169402-Oct-24
29PKR9.25629.8329.544102-Oct-24
30RWF1.96212.02131.991702-Oct-24
31SAR720.7037727.8719724.287802-Oct-24
32SDR3667.34223704.01563685.678902-Oct-24
33SEK264.6729267.2777265.975302-Oct-24
34SGD2100.84852120.53892110.693702-Oct-24
35UGX0.70860.74350.72602-Oct-24
36USD2703.7922730.832717.31102-Oct-24
37GOLD7173133.34827245984.3227209558.835102-Oct-24
38ZAR156.6498157.9418157.295802-Oct-24
39ZMW100.2936104.2302102.261902-Oct-24
40ZWD0.5060.51620.511102-Oct-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news