Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 21,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.71 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 21, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2703.53 na kuuzwa kwa shilingi 2730.57 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8824.99 na kuuzwa kwa shilingi 8907.42.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3526.22 na kuuzwa kwa shilingi 3563.67 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1960.50 na kuuzwa kwa shilingi 1976.69 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3121.14 na kuuzwa kwa shilingi 3151.99.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 256.78 na kuuzwa kwa shilingi 259.30 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 153.88 na kuuzwa kwa shilingi 155.37.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 736.12 na kuuzwa kwa shilingi 743.38 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 173.48 na kuuzwa kwa shilingi 175.02.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.51 na kuuzwa kwa shilingi 0.52 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2933.06 na kuuzwa kwa shilingi 2962.67.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1814.34 na kuuzwa kwa shilingi 1833.30 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3604.97 na kuuzwa kwa shilingi 3641.02.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 21.04 na kuuzwa kwa shilingi 21.08 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.45 na kuuzwa kwa shilingi 1.56.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 21st,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED736.1164743.3763739.746421-Oct-24
2ATS173.4859175.0231174.254521-Oct-24
3AUD1814.34211833.30471823.823421-Oct-24
4BEF59.177759.701659.439621-Oct-24
5BIF0.92810.93120.929721-Oct-24
6BWP202.4947205.0658203.780321-Oct-24
7CAD1960.50371979.96521970.234521-Oct-24
8CHF3121.14373151.99123136.567521-Oct-24
9CNY380.5651384.3437382.454421-Oct-24
10CUC112.6473113.7738113.210521-Oct-24
11DEM1083.27711231.37321157.325121-Oct-24
12DKK393.3158397.2027395.259221-Oct-24
13DZD20.342320.328220.335321-Oct-24
14ESP14.347714.474314.41121-Oct-24
15EUR2933.06472962.66852947.866621-Oct-24
16FIM401.4991405.057403.278121-Oct-24
17FRF363.9311367.1503365.540721-Oct-24
18GBP3526.22023563.66693544.943621-Oct-24
19HKD347.999351.4338349.716421-Oct-24
20INR32.169632.470132.319821-Oct-24
21IQD2.06532.08282.074121-Oct-24
22IRR0.06440.0650.064721-Oct-24
23ITL1.23291.24381.238421-Oct-24
24JPY18.030818.207418.119121-Oct-24
25KES21.039221.085521.062321-Oct-24
26KRW1.97231.99141.981821-Oct-24
27KWD8824.98668907.42138866.20421-Oct-24
28MWK1.44891.55941.504221-Oct-24
29MYR628.4367633.9842631.210521-Oct-24
30MZM41.954342.308242.131221-Oct-24
31NAD153.8538155.3667154.610321-Oct-24
32NGN1.67921.64491.662121-Oct-24
33NLG1083.27711092.88371088.080421-Oct-24
34NOK248.3155250.6651249.490321-Oct-24
35NZD1641.31591658.54821649.932121-Oct-24
36PKR9.25539.83289.544121-Oct-24
37QAR741.7105748.7168745.213621-Oct-24
38RWF1.9522.03581.993921-Oct-24
39SAR719.9251726.9308723.427921-Oct-24
40SDR3604.96763641.01733622.992521-Oct-24
41SEK256.7849259.3035258.044221-Oct-24
42SGD2061.56372081.38582071.474721-Oct-24
43TRY78.957779.731479.344621-Oct-24
44UGX0.70850.74340.72621-Oct-24
45USD2703.53472730.572717.052321-Oct-24
46GOLD7338204.10997412405.3227375304.71621-Oct-24
47ZAR153.8906155.3676154.629121-Oct-24
48ZMK98.7732102.653100.713121-Oct-24
49ZWD0.50590.51610.51121-Oct-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news