Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 23,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1808.09 na kuuzwa kwa shilingi 1827.46 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3602.84 na kuuzwa kwa shilingi 3638.87.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 23, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 21.03 na kuuzwa kwa shilingi 21.08 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.45 na kuuzwa kwa shilingi 1.56.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.71 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2702.97 na kuuzwa kwa shilingi 2730 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8821.99 na kuuzwa kwa shilingi 8907.30.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3502.51 na kuuzwa kwa shilingi 3539.72 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1956.26 na kuuzwa kwa shilingi 1974.83 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3125.54 na kuuzwa kwa shilingi 3154.97.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 256.63 na kuuzwa kwa shilingi 259.14 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 154.26 na kuuzwa kwa shilingi 155.71.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 735.94 na kuuzwa kwa shilingi 743.20 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 173.94 na kuuzwa kwa shilingi 174.99.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.52 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2923.80 na kuuzwa kwa shilingi 2953.31.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 23rd,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED735.9427743.2009739.571823-Oct-24
2ATS173.4497174.9865174.218123-Oct-24
3AUD1808.28711827.4621817.874623-Oct-24
4BEF59.165459.689159.427223-Oct-24
5BIF0.9290.93260.930823-Oct-24
6BWP202.1822205.023203.602623-Oct-24
7CAD1956.26421974.82641965.545323-Oct-24
8CHF3125.54383154.97523140.259523-Oct-24
9CNY379.5347383.3085381.421623-Oct-24
10CUC112.6238113.75113.186923-Oct-24
11DEM1083.0511231.11611157.083523-Oct-24
12DKK392.0871395.985394.036123-Oct-24
13DZD20.31820.436920.377423-Oct-24
14ESP14.344714.471214.40823-Oct-24
15EUR2923.8032953.3142938.558523-Oct-24
16FIM401.4153404.9724403.193923-Oct-24
17FRF363.8551367.0736365.464423-Oct-24
18GBP3502.50893539.7183521.113523-Oct-24
19HKD347.7384351.2112349.474823-Oct-24
20INR32.159832.460232.3123-Oct-24
21IQD2.06492.08242.073623-Oct-24
22IRR0.06440.0650.064723-Oct-24
23ITL1.23261.24361.238123-Oct-24
24JPY17.937318.110718.02423-Oct-24
25KES21.034821.081121.057923-Oct-24
26KRW1.96211.98121.971723-Oct-24
27KWD8821.99258907.30538864.648923-Oct-24
28MWK1.44831.55971.50423-Oct-24
29MYR624.9642630.3394627.651823-Oct-24
30MZM41.945542.299342.122423-Oct-24
31NAD154.2879155.7241155.00623-Oct-24
32NGN1.67031.63641.653423-Oct-24
33NLG1083.0511092.65561087.853323-Oct-24
34NOK247.493249.9107248.701923-Oct-24
35NZD1637.45941654.6531646.056223-Oct-24
36PKR9.24679.82729.53723-Oct-24
37QAR741.5556748.5605745.05823-Oct-24
38RWF1.98822.03352.010823-Oct-24
39SAR719.794726.8371723.315523-Oct-24
40SDR3602.84323638.87163620.857423-Oct-24
41SEK256.6265259.1362257.881423-Oct-24
42SGD2055.80342075.09882065.451123-Oct-24
43TRY78.96279.723279.342623-Oct-24
44UGX0.7090.74390.726423-Oct-24
45USD2702.970327302716.485123-Oct-24
46GOLD7404922.27727479981.67442451.938623-Oct-24
47ZAR154.2571155.7108154.98423-Oct-24
48ZMK99.1259103.0189101.072423-Oct-24
49ZWD0.50580.5160.510923-Oct-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news