Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 24,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.52 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2910.56 na kuuzwa kwa shilingi 2940.48.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 24, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1892.88 na kuuzwa kwa shilingi 1911.08 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3597.84 na kuuzwa kwa shilingi 3633.82.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 21.03 na kuuzwa kwa shilingi 21.08 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.45 na kuuzwa kwa shilingi 1.56.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.71 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2702.97 na kuuzwa kwa shilingi 2730 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8816.82 na kuuzwa kwa shilingi 8899.17.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3500.35 na kuuzwa kwa shilingi 3535.62 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1952.02 na kuuzwa kwa shilingi 1971.40 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3115.46 na kuuzwa kwa shilingi 3146.25.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 254.87 na kuuzwa kwa shilingi 257.37 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 152.85 na kuuzwa kwa shilingi 154.33.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 735.94 na kuuzwa kwa shilingi 743.20 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 173.45 na kuuzwa kwa shilingi 174.99.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 24th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED735.9427743.2009739.571824-Oct-24
2ATS173.4497174.9865174.218124-Oct-24
3AUD1792.88021811.0821801.981124-Oct-24
4BEF59.165459.689159.427224-Oct-24
5BIF0.92890.9330.930924-Oct-24
6CAD1952.02591971.40381961.714924-Oct-24
7CHF3115.45683146.24873130.852724-Oct-24
8CNY379.1514382.8999381.025724-Oct-24
9DEM1083.0511231.11611157.083524-Oct-24
10DKK390.2868394.1669392.226924-Oct-24
11ESP14.344714.471214.40824-Oct-24
12EUR2910.55842940.4832925.520724-Oct-24
13FIM401.4153404.9724403.193924-Oct-24
14FRF363.8551367.0736365.464424-Oct-24
15GBP3500.34653535.6233517.984824-Oct-24
16HKD347.8771351.3514349.614224-Oct-24
17INR32.157232.457532.307324-Oct-24
18ITL1.23261.24361.238124-Oct-24
19JPY17.654917.825717.740324-Oct-24
20KES21.034821.081121.057924-Oct-24
21KRW1.95221.97091.961524-Oct-24
22KWD8816.81288899.17538857.99424-Oct-24
23MWK1.44831.55911.503724-Oct-24
24MYR621.8013627.1537624.477524-Oct-24
25MZM41.945542.299342.122424-Oct-24
26NLG1083.0511092.65561087.853324-Oct-24
27NOK245.1718247.5584246.365124-Oct-24
28NZD1623.94461640.4571632.200824-Oct-24
29PKR9.24679.82729.53724-Oct-24
30RWF1.97272.03222.002424-Oct-24
31SAR719.8515726.9725723.41224-Oct-24
32SDR3597.8443633.82253615.833224-Oct-24
33SEK254.8698257.3675256.118624-Oct-24
34SGD2044.29762064.42832054.36324-Oct-24
35UGX0.7090.74390.726424-Oct-24
36USD2702.970327302716.485124-Oct-24
37GOLD7414923.2677490437.57452680.38424-Oct-24
38ZAR152.8518154.3323153.592124-Oct-24
39ZMW98.9389102.8249100.881924-Oct-24
40ZWD0.50580.5160.510924-Oct-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news