Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 28,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 255.26 na kuuzwa kwa shilingi 257.77 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 153.16 na kuuzwa kwa shilingi 154.66.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 28, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 734.23 na kuuzwa kwa shilingi 741.53 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 173.05 na kuuzwa kwa shilingi 174.58.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2922.19 na kuuzwa kwa shilingi 2951.68.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1791.18 na kuuzwa kwa shilingi 1810.18 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3585.78 na kuuzwa kwa shilingi 3621.64.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.99 na kuuzwa kwa shilingi 21.03 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.44 na kuuzwa kwa shilingi 1.55.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.71 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2696.74 na kuuzwa kwa shilingi 2723.71 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8818.36 na kuuzwa kwa shilingi 8977.51.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3502.79 na kuuzwa kwa shilingi 3540.00 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1948.37 na kuuzwa kwa shilingi 1967.71 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3115.46 na kuuzwa kwa shilingi 3146.25.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 28th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED734.2271741.529737.87828-Oct-24
2ATS173.05174.5834173.816728-Oct-24
3AUD1791.17641810.17771800.67728-Oct-24
4BEF59.029159.551659.290328-Oct-24
5BIF0.92790.93020.92928-Oct-24
6BWP200.9073204.823202.865228-Oct-24
7CAD1948.37261967.71421958.043428-Oct-24
8CHF3115.46053146.25163130.85628-Oct-24
9CNY378.5274382.2751380.401228-Oct-24
10CUC112.3643113.4879112.926128-Oct-24
11DEM1080.55561228.27961154.417628-Oct-24
12DKK391.7179395.6121393.66528-Oct-24
13DZD20.270320.38920.329628-Oct-24
14ESP14.311614.437914.374828-Oct-24
15EUR2922.19032951.68452936.937428-Oct-24
16FIM400.4905404.0393402.264928-Oct-24
17FRF363.0168366.2279364.622328-Oct-24
18GBP3502.79893540.00593521.402428-Oct-24
19HKD347.0577350.5238348.790728-Oct-24
20INR32.082732.382332.232528-Oct-24
21IQD2.06022.07762.068928-Oct-24
22IRR0.06420.06480.064528-Oct-24
23ITL1.22981.24071.235228-Oct-24
24JPY17.756917.933317.845128-Oct-24
25KES20.986321.032521.009428-Oct-24
26KRW1.94361.96221.952928-Oct-24
27KWD8818.35978877.51388847.936728-Oct-24
28MWK1.44491.55551.500228-Oct-24
29MYR621.7991627.1494624.474328-Oct-24
30MZM41.848942.201942.025428-Oct-24
31NAD153.1657154.6719153.918828-Oct-24
32NGN1.66641.63271.649628-Oct-24
33NLG1080.55561090.13811085.346828-Oct-24
34NOK247.0223249.4126248.217428-Oct-24
35NZD1620.74231637.22211628.982228-Oct-24
36PKR9.22649.79829.512328-Oct-24
37QAR739.8471746.8358743.341428-Oct-24
38RWF1.9472.02731.987128-Oct-24
39SAR718.0208725.1238721.572328-Oct-24
40SDR3585.7793621.63683603.707928-Oct-24
41SEK255.2597257.766256.512928-Oct-24
42SGD2044.53572063.72942054.132528-Oct-24
43TRY78.655379.431879.043528-Oct-24
44UGX0.70680.74150.724228-Oct-24
45USD2696.74262723.712710.226328-Oct-24
46GOLD7359626.22467434121.31117396873.767828-Oct-24
47ZAR153.1657154.6631153.914428-Oct-24
48ZMK98.6812101.084199.882628-Oct-24
49ZWD0.50460.51480.509728-Oct-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news