Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 29,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1933.77 na kuuzwa kwa shilingi 1952.97 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3101.94 na kuuzwa kwa shilingi 3132.60.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 29, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 253.40 na kuuzwa kwa shilingi 255.88 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 151.60 na kuuzwa kwa shilingi 152.99.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 731.46 na kuuzwa kwa shilingi 738.74 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 173.39 na kuuzwa kwa shilingi 173.93.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2905.55 na kuuzwa kwa shilingi 2934.88.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1795.05 na kuuzwa kwa shilingi 1793.05 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3574.19 na kuuzwa kwa shilingi 3609.93.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.91 na kuuzwa kwa shilingi 21.95 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.44 na kuuzwa kwa shilingi 1.55.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.71 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2686.59 na kuuzwa kwa shilingi 2713.46 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8877.71 na kuuzwa kwa shilingi 8936.62.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3589.88 na kuuzwa kwa shilingi 3525.05 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 29th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED731.464738.7384735.101229-Oct-24
2ATS172.3988173.9264173.162629-Oct-24
3AUD1775.03271793.05441784.043529-Oct-24
4BEF58.806959.327559.067229-Oct-24
5BIF0.92310.92660.924929-Oct-24
6BWP200.1513202.4241201.287729-Oct-24
7CAD1933.77531952.97251943.373929-Oct-24
8CHF3101.94443132.60223117.273329-Oct-24
9CNY376.9918380.7296378.860729-Oct-24
10CUC111.9414113.0608112.501129-Oct-24
11DEM1076.48921223.65731150.073229-Oct-24
12DKK389.5986393.4718391.535229-Oct-24
13DZD20.220220.220320.220229-Oct-24
14ESP14.257814.383614.320729-Oct-24
15EUR2905.55152934.87832920.214929-Oct-24
16FIM398.9833402.5188400.751129-Oct-24
17FRF361.6506364.8497363.250229-Oct-24
18GBP3489.88573525.05593507.470829-Oct-24
19HKD345.725349.1732347.449129-Oct-24
20INR31.964632.263232.113929-Oct-24
21IQD2.05242.06982.061129-Oct-24
22IRR0.0640.06460.064329-Oct-24
23ITL1.22521.2361.230629-Oct-24
24JPY17.606617.781517.694129-Oct-24
25KES20.907320.953420.930429-Oct-24
26KRW1.94191.96071.951329-Oct-24
27KWD8777.71128836.61718807.164129-Oct-24
28MWK1.43951.55031.494929-Oct-24
29MYR616.4741621.7828619.128429-Oct-24
30MZM41.691442.043141.867229-Oct-24
31NAD151.6308152.9917152.311229-Oct-24
32NGN1.66021.62651.643329-Oct-24
33NLG1076.48921086.03561081.262429-Oct-24
34NOK244.1404246.5191245.329729-Oct-24
35NZD1608.46391625.36251616.913229-Oct-24
36PKR9.19019.75089.470429-Oct-24
37QAR737.0628744.0252740.54429-Oct-24
38RWF1.94022.01671.978429-Oct-24
39SAR715.4711722.4719718.971529-Oct-24
40SDR3574.19073609.93263592.061729-Oct-24
41SEK253.4021255.8854254.643729-Oct-24
42SGD2033.14222052.23112042.686629-Oct-24
43TRY78.361379.127278.744229-Oct-24
44UGX0.70470.73940.72229-Oct-24
45USD2686.59412713.462700.02729-Oct-24
46GOLD7344476.50997419278.0057381877.257529-Oct-24
47ZAR151.6034152.9873152.295429-Oct-24
48ZMK98.0693100.793499.431429-Oct-24
49ZWD0.50270.51290.507829-Oct-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news