Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 3,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2702.97 na kuuzwa kwa shilingi 2730 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8841.33 na kuuzwa kwa shilingi 8926.82.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 3, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3589.27 na kuuzwa kwa shilingi 3625.44 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.00 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 2003.83 na kuuzwa kwa shilingi 2023.72 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3178.84 na kuuzwa kwa shilingi 3210.25.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 263.38 na kuuzwa kwa shilingi 265.97 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 155.43 na kuuzwa kwa shilingi 156.93.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 735.94 na kuuzwa kwa shilingi 743.45 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 173.45 na kuuzwa kwa shilingi 174.99.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.52 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2988.40 na kuuzwa kwa shilingi 3018.56.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1864.24 na kuuzwa kwa shilingi 1883.15 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3650.33 na kuuzwa kwa shilingi 3650.33.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 21.03 na kuuzwa kwa shilingi 210.08 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.44 na kuuzwa kwa shilingi 1.56.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.71 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 3rd,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED735.9427743.2212739.581903-Oct-24
2ATS173.4497174.9865174.218103-Oct-24
3AUD1864.23861883.1541873.696303-Oct-24
4BEF59.165459.689159.427203-Oct-24
5BIF0.92990.93350.931703-Oct-24
6BWP204.6149207.207205.910903-Oct-24
7CAD2003.8332023.72132013.777103-Oct-24
8CHF3178.84313210.2543194.548603-Oct-24
9CNY385.1702388.9221387.046203-Oct-24
10CUC112.6238113.75113.186903-Oct-24
11DEM1083.0511231.11611157.083503-Oct-24
12DKK400.6418404.6303402.636103-Oct-24
13DZD20.45120.45120.45103-Oct-24
14ESP14.344714.471214.40803-Oct-24
15EUR2988.4043018.5613003.482503-Oct-24
16FIM401.4153404.9724403.193903-Oct-24
17FRF363.8551367.0736365.464403-Oct-24
18GBP3589.27433625.443607.357103-Oct-24
19HKD348.1639351.641349.902403-Oct-24
20INR32.200832.501532.351203-Oct-24
21IQD2.06492.08242.073603-Oct-24
22IRR0.06440.0650.064703-Oct-24
23ITL1.23261.24361.238103-Oct-24
24JPY18.600118.784818.692503-Oct-24
25KES21.034821.081121.057903-Oct-24
26KRW2.0452.06462.054803-Oct-24
27KWD8841.32648926.81978884.07303-Oct-24
28MWK1.44831.55971.50403-Oct-24
29MYR648.5053653.2663650.885803-Oct-24
30MZM41.945542.299342.122403-Oct-24
31NAD155.4772156.9236156.200403-Oct-24
32NGN1.64421.61161.627903-Oct-24
33NLG1083.0511092.65561087.853303-Oct-24
34NOK256.1839258.682257.432903-Oct-24
35NZD1698.00591715.2591706.632503-Oct-24
36PKR9.25019.83089.540403-Oct-24
37QAR741.7591748.7658745.262503-Oct-24
38RWF2.00062.04642.023503-Oct-24
39SAR720.2159727.3793723.797603-Oct-24
40SDR3650.33443686.83773668.58603-Oct-24
41SEK263.3858265.9704264.678103-Oct-24
42SGD2095.97572116.60722106.291503-Oct-24
43TRY78.971279.751179.361103-Oct-24
44UGX0.70760.74250.72503-Oct-24
45USD2702.970327302716.485103-Oct-24
46GOLD7159453.65157232686.4617196070.056203-Oct-24
47ZAR155.4316156.9281156.179803-Oct-24
48ZMK100.2631104.1985102.230803-Oct-24
49ZWD0.50580.5160.510903-Oct-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news