Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 30,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3598.71 na kuuzwa kwa shilingi 3533.97 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 30, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1938.73 na kuuzwa kwa shilingi 1957.98 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3100.73 na kuuzwa kwa shilingi 3131.37.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 252.13 na kuuzwa kwa shilingi 254.60 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 151.96 na kuuzwa kwa shilingi 153.45.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 733.71 na kuuzwa kwa shilingi 741.01 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 172.93 na kuuzwa kwa shilingi 174.46.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2905.04 na kuuzwa kwa shilingi 2934.63.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1767.28 na kuuzwa kwa shilingi 1785.22 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3583.30 na kuuzwa kwa shilingi 3619.14.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.97 na kuuzwa kwa shilingi 21.02 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.44 na kuuzwa kwa shilingi 1.55.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.71 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2694.84 na kuuzwa kwa shilingi 2721.79 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8785.15 na kuuzwa kwa shilingi 8870.09.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 30th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED733.7095741.0062737.357930-Oct-24
2ATS172.9281174.4603173.694230-Oct-24
3AUD1767.27711785.22211776.249630-Oct-24
4BEF58.987459.509659.248530-Oct-24
5BIF0.92680.92920.92830-Oct-24
6BWP200.4962203.0455201.770930-Oct-24
7CAD1938.7351957.98141948.358230-Oct-24
8CHF3100.72673131.37373116.050230-Oct-24
9CNY377.6245381.374379.499230-Oct-24
10CUC112.2851113.4079112.846530-Oct-24
11DEM1079.79391227.41381153.603830-Oct-24
12DKK389.5124393.3791391.445830-Oct-24
13DZD20.246320.364920.305630-Oct-24
14ESP14.301614.427714.364630-Oct-24
15EUR2905.03922934.6342919.836630-Oct-24
16FIM400.2081403.7545401.981330-Oct-24
17FRF362.7609365.9697364.365330-Oct-24
18GBP3498.71283533.97213516.342530-Oct-24
19HKD346.822350.2767348.549330-Oct-24
20INR32.070432.369932.220130-Oct-24
21IQD2.05872.07612.067430-Oct-24
22IRR0.06420.06460.064430-Oct-24
23ITL1.22891.23981.234430-Oct-24
24JPY17.526317.700417.613330-Oct-24
25KES20.971521.017720.994630-Oct-24
26KRW1.94121.95991.950630-Oct-24
27KWD8785.13968870.09948827.619530-Oct-24
28MWK1.44391.5551.499530-Oct-24
29MYR616.5275621.8392619.183330-Oct-24
30MZM41.819442.172141.995830-Oct-24
31NAD151.9573153.4518152.704630-Oct-24
32NGN1.66531.63151.648430-Oct-24
33NLG1079.79391089.36961084.581830-Oct-24
34NOK245.1974247.5795246.388430-Oct-24
35NZD1605.85611623.27561614.565830-Oct-24
36PKR9.22629.79459.510430-Oct-24
37QAR739.3255746.3093742.817430-Oct-24
38RWF1.96162.01821.989930-Oct-24
39SAR717.5911724.7284721.159730-Oct-24
40SDR3583.30393619.13693601.220430-Oct-24
41SEK252.1324254.6037253.368130-Oct-24
42SGD2032.61552052.78682042.701130-Oct-24
43TRY78.590979.367578.979230-Oct-24
44UGX0.70680.74160.724230-Oct-24
45USD2694.84162721.792708.315830-Oct-24
46GOLD7416311.83337491318.70657453815.269930-Oct-24
47ZAR151.965153.4475152.706330-Oct-24
48ZMK98.326100.930499.628230-Oct-24
49ZWD0.50430.51450.509430-Oct-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news