Gavana Tutuba ateta na Balozi wa Hungary nchini Tanzania

DAR-Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Hungary nchini Tanzania, Mhe. Zsolt Meszaros, katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2024.
Katika mazungumzo hayo, wamejadiliana kuhusu kuimarisha ushirikiano katika sekta ya fedha baina ya Tanzania na Hungary pamoja na fursa za uwekezaji kati ya nchi hizo mbili.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news