Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa km 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66. mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024. Daraja hili litafunguliwa kwa matumizi Februari 2025.