1. Mpira ni wetu, Samia ni wetu, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wetu, kupiga kura ni wajibu wetu.
2. Wananchiiii...! Novemba 27, Spidi 120 kuchagua viongozi bora wa mitaa kwa maendeleo ya soka.
3. Mama Kasema, Novemba 27, tusiache kumwaga wino.
4. Mama na Soka, Sisi na Uchaguzi, Tusomane vituoni Novemba 27.
5. Friends of Samia, tuna jambo letu Novemba 27, 2024.
6. Ubaya Ubwela hadi kwenye Sanduku la Kura, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27, 2024.
7. Chagua viongozi bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo ya Soka letu.
#WatotowaMama