Kamati yasitisha Wasafi Festival 2024 kuomboleza kifo cha Dida Shaibu

DAR-Kamati ya Wasafi Festival 2024 imetangaza kusitisha kwa muda muendelezo wa Tamasha la Wasafi Festival 2024 ambalo lilikuwa linaendelea kwenye baadhi ya mikoa nchini kutokana na msiba wa Khadija Shaibu (Dida) uliotokea Oktoba 4, 2024 ili kutumia muda huu kuomboleza na kuyaenzi maisha ya Dida.

“Khadija Shaibu (Dida) alikua ni mmoja kati ya wadau wakubwa wa burudani sio tu redioni bali hata kwenye matamasha mbalimbali makubwa ya muziki na aliweza mara kadhaa kuandaa matamasha yake ya Muziki wa Taarabu katika maeneo tofauti tofauti nchini.”

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news