🔴LIVE:Waziri Mchengerwa akijibu hoja zinazohusiana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

MWANZA-Leo Oktoba 15,2024 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa anazunguma na waandishi wa habari jijini Mwanza kujibu hoja mbalimbali zinazotolewa kuhusiana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
"Na sehemu kubwa ya marekebisho haya yalikusudiwa na sote ili kuhakikisha kwamba tunakuwa na kanuni rafiki ambazo zitatumika katika uchaguzi huu bila kuwepo kwa migongano yoyote au sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news