Magazeti leo Oktoba 12,2024

DAR-Taasisi ya Elimu Tanzaia (TET) na Taasisi ya Elimu Zanzibar (TEZ) tarehe 11 Oktoba,2024 zimesaini hati mbili za makubaliano ya kiutendaji kwenye eneo la vifaa vya kufundishia na kujifunzia ambapo lengo kuu ni kuweka ushirikiano kwa pande zote mbili katika kukuza suala la elimu.
Makubaliano hayo yamesainiwa na wakurugenzi wakuu wa Taasisi hizo ambapo kwa upande wa TET, aliyesaini alikuwa Mkurugenzi Mkuu Dkt. Aneth Komba na upande wa TEZ makubaliano yamesainiwa na Mkurugenzi Mkuu, Bw.Abdallah Mohamed Musa.





Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news